Je, wajua kuwa Dubai ni moja kati ya sehemu yenye vitu vingi vya kustaajabisha duniani?.
Dubai
ina maajabu mengi mazuri. Dubai ni moja kati ya falme zinazounda umoja wa falme
za kiarabu. Mazingira yake yamekua yakichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa
biashara. Hadi sasa Dubai imekua ikijulikana sana kwa kuwa na ushirikiano na
nchi mbalimbali.
Kati
ya karne ya 19 Dubai ilikuwa chini ya utawala wa waingereza. Dubai hadi sasa
wana haki ya kumiliki rasilimali zote walizonazo bila kushurutishwa na utawala
mwingine. Hapo mwanzoni Dubai ilitegemea sana rasilimali mafuta na gesi, lakini
leo hii wamejikita sana katika ufanyaji wa biashara ambazo ndio zimekuwa na
umuhimu kwao kuliko vingine na pia kuna bandari ambazo zipo kwenye kumi bora
duniani.
Katika
majira ya joto Dubai huwa katika hali ya nyuzi joto 40º na katika majira ya
baridi hali ya hewa hufikia 14º
Sedan Gold luxury car
Range rover Gold
Hizi
ni picha za kustaajabisha za matajiri huko Dubai, kwa hakika zitakusisimua
sana.
LuckyClub Casino UK | Review & Sign Up Bonus
ReplyDeleteLucky Club Casino ✓ Sign Up Bonus ✓ Check the latest welcome bonus codes and games ✓ Deposit bonuses from the best online casinos. 카지노사이트luckclub ✓ The best