Welcome to moses lumole blog

Wednesday, April 29, 2015

Picha za maajabu za matajiri katika falme za kiarabu (Dubai)

Je, wajua kuwa Dubai ni moja kati ya sehemu yenye vitu  vingi vya kustaajabisha duniani?. 
Dubai ina maajabu mengi mazuri. Dubai ni moja kati ya falme zinazounda umoja wa falme za kiarabu. Mazingira yake yamekua yakichangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara. Hadi sasa Dubai imekua ikijulikana sana kwa kuwa na ushirikiano na nchi mbalimbali.
Kati ya karne ya 19 Dubai ilikuwa chini ya utawala wa waingereza. Dubai hadi sasa wana haki ya kumiliki rasilimali zote walizonazo bila kushurutishwa na utawala mwingine. Hapo mwanzoni Dubai ilitegemea sana rasilimali mafuta na gesi, lakini leo hii wamejikita sana katika ufanyaji wa biashara ambazo ndio zimekuwa na umuhimu kwao kuliko vingine na pia kuna bandari ambazo zipo kwenye kumi bora duniani.
Katika majira ya joto Dubai huwa katika hali ya nyuzi joto 40º na katika majira ya baridi hali ya hewa hufikia 14º
Sedan Gold luxury car











Range rover Gold










Hizi ni picha za kustaajabisha za matajiri huko Dubai, kwa hakika zitakusisimua sana.

Monday, April 27, 2015

UFUGAJI WA KUKU: BANDA LA KUKU WA KIENYEJI

Sifa za banda bora la Kuku
Ukiamua kufuga katika banda kwa njia mbili zilizoelezwa awali utatakiwa kujenga banda lenye sifa zitakazokidhi mahitaji ya msingi ya kuku. Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Ready more>>